Monday, April 29, 2013

MATUKIO ZAIDI YALIYOJIRI BAADA YA LEMA KUACHIWA KWA DHAMANA LEO ASUBUHI.

Ukitembelea link hii: http://www.apexbnews.blogspot.com/2013/04/picha-zaidi-ya-25-hii-ndo-album-nzima.html
Utajionea picha zaidi ya 20 za matukio mbali mbali yaliyokuwa yanajiri wakati umati mkubwa wa watu wa Arusha waliojitokeza kutoa support na ku show love kwa mbunge wao Godbless Lema.

No comments:

Post a Comment