Wednesday, May 1, 2013

KASI YA UJENZI JIJINI DAR ES SALAAM

Hii ndio kasi ya ujenzi katita jiji la Dar es Salaam. Swali la kujiuliza hapa ni hili, kwa kasi hii ya ujenzi wa majengo ya ghorofa na hizi habari zilizozagaa kuwa mengi ya haya hayajajengwa kwa kiwango stahiki, je tunajenga jiji au tunakaribisha hatari kubwa siku za usoni?.

No comments:

Post a Comment